Friday, June 9, 2017
Thursday, June 8, 2017
*BREAKING NEWS.*
Basi la kampuni ya *Coastline* lililokuwa linatoka *Mwanza kuja Moshi via Arusha* limepata ajali mbaya maeneo ya *King'ori- Kiwandani* mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni kubwa na vifo wachache. Kama una ndugu aliyekuwa route hiyo leo jaribu kuwasiliana naye.
Vilevile kuna abiria waliokuwa wamefaulishwa kutoka kwenye mabasi mengine .

Subscribe to:
Posts (Atom)