Wednesday, April 26, 2017

JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*

 Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
• ACID,
• SPERM au CHROMOSOME,
• VIRUS.

PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food
Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii
inapatikana ndani ya manii na pia watu wa
mambo ya reproduction system (mfumo wa
uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na
aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una
njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kama
utajilazimisha utapata madhara.

ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye
ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye
tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia
kulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo
sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke
aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi
zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule
aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi
sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii.
Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako
ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana
ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya
katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata
ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma
mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano
mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume
ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile
(mashoga) hata kama zamani alikuwa strong
(imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea
kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu
sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii.
Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia
mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia
ukamuingizia manii
ambayo yana acid, acid ile itapanda katika
maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto
akinyonya atanyonya
maziwa yenye acid. Itasababisha mtoto kulegea
au kwa watu wa pwani wanaita
kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto.
Lakini kama
atakula acid ya baba yake hatadhurika sana,
sababu atakula
acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila
mke akiziniwa na mtu mwingine mtoto
ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu
ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si
ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa
ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid
kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika
zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika
virginal wall.

SPERM: Ni mbegu za kiume zinazopatikana
ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya
mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani
mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na
nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na
joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya
reproduction na gynecology wanatueleza
kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto
milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa
kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa
kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi
sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama
yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi
Mungu.

VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo
vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na
mtu
m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya
zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus
wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi.
Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu)
maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu
mwanaume anapotoa manii yake yenye
protein,acid sperm/chromosomes na virus kila
kimoja huchukua nafasi yake kwenda
kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika
vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate
kuish humo kwa kuwa ndipo alipowapangia
Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia
mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus
wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo
kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana
virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale
ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo
akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa
virus wasiokuwa wako. Hivyo hawa wapya
wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale
matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo
alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya
wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa
mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao
wametokea wapi? Mbona si katika wale
tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus
wenyeji watawashambulia virus wageni kama
antibody bacteria (kitu kinachotoka nje ya
mwili). Na katika mapigano haya watapelekea
kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale
waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea
wapi? Jibu ni pale pale walipoingilia. Hapo sasa
ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia
virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi
kushambuliwa na virus wa zamani itabidi
watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili
wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo
ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali
wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha
magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo
mume akimuingilia mkewe naye pia atapata
ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus
wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini
zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa
urinary truck (mrija wa mkojo).
Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni
uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni
kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani
mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya
mumewe pekee. Na hapa ndipo tunapoona
hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa
baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha
mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na
mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii
ni kwa sababu mwanamke anapokea manii
yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwa
mumewe. Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa
awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya
ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze. Hapa
ndipo inapopatikana hekima ya mwanamke
aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka
lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama
mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi
cha miezi mine na siku kumi ambacho
mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi
hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa
protein inayopatikana katika
manii ambayo ndio chakula chao, hivyo
kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika
kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama
ataolewa tena na mume mwingine huyu mume
mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo
haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi
Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina
madhara yake. Njia bora ya kupambana na
magonjwa mbalimbali km UKIMWI ni kuacha
Zinaa.

*ukipata muda share hiyo nii Mafundisho mazur sana.

Friday, April 21, 2017

*USIYOYAJUA KUHUSU MARAFIKI* -

👉🏻Kuna mengi hatujui kuhusu marafiki zetu.
Kuna watu wameumizwa na marafiki zao kwa sababu hawakuwa na macho ya rohoni kuweza kuwatazama.
 Kama wewe ni mmoja kati ya wale ambao marafiki wamekuwa jaribu, basi somo hili na likawe msaada kwako.

1⃣ *CONFIDANTS*
Hili ni kundi la kwanza la marafiki.
“Confidants” ni wale marafiki wanaokupenda bila masharti. Wako nawe ukiwa juu au chini, ukiwa tajiri au maskini, ukiwa sahihi au ukikosea, wako pamoja na wewe. Ukipelekwa gerezani watakufuata, ukilia watalia pamoja nawe, na ukifurahi watafurahi pamoja nawe. Ni watu ambao unakuwa huru zaidi kuwaeleza kila jambo kuhusu maisha yako (kuliko hata ndugu zako) na kwa kufanya hivyo unajikuta unafarijika na kupata amani moyoni. Hutaweza kutimiza maono yako bila kuwapata “Confidants” wako.
👉🏼Confidants ndio wanaoelezwa katika Mithali 18:24; kuwa ni marafiki wanaoambatana na mtu kuliko ndugu. Mungu anakuletea watu kama hawa kwenye biashara, katika huduma, katika uongozi n.k. ili wakusaidie kwa maombi, ushauri na kukuonya, ili uweze kufanikiwa kama Mungu alivyokusudia. Ukipata wawili au watatu katika maisha yako, basi wewe ni mtu uliyebarikiwa sana, kwa sababu bila watu hawa hutaweza kuwa vile Mungu alivyotaka uwe. Usiwapoteze confidants wako kirahisi. Mungu akusaidie uwe confidant kwa mtu fulani.

2⃣ *CONSTITUENTS*
Hawa ni marafiki hatari, kwa sababu hawako kwa ajili yako, wapo kuiba maono yako. Ni wezi wa maono. Biblia inasema pasipo maono watu huangamia (Mithali 29:18); Kwa hiyo anayekuibia maono kwa lugha nyingine amekuangamiza. Unakuta binti  amepata mchumba, (au hata wakaka sometimes!!!!) anamshirikisha rafiki yake kile Bwana alichomtendea, lakini baada ya muda mfupi anaachwa na anashangaa rafiki yake mtu aliyemuamini saaaaaana amemuibia mchumba. Watu wengi wameumizwa na marafiki kwa namna hii but kiukweli hawasemi tu.. Huyo alikuwa rafiki aina ya “constituent”, unachotaka ndicho anachotaka. Ole wako wewe mwenye constituent kwenye mahusiano au biashara yako ukidhani ni confidant. Ukimueleza constituent habari za mchumba wako atakuibia (abiria chunga mzigo wako!!!) Ukimueleza constituent habari za wazo la biashara unayotaka kuanzisha atakuibia hilo wazo.
👉🏻Kumbuka vizuri habari za Yakobo na Esau, Yakobo alikuwa “constituent” kwa Esau, akamwibia baraka. Na Mungu amekupa marafiki kama hawa kwa lengo moja kubwa, _kukufundisha kwa vitendo kwamba maono yako yanaweza kuibiwa usipoyalinda_ .. Mungu akupe “MACHO” ya kuwajua constituents katika maisha yako.

3⃣ *COMRADES*
Hawa ni marafiki ambao Mungu anawaleta katika maisha yako kwa kusudi maalumu, sometimes kwa muda maalumu tu na baada ya hapo hutawaona tena. Ni watu wanaopigana na kile unachopigana nacho, kukusaidia kushinda upinzani mkubwa na baada ya hapo hutawaona tena. Sasa usipate shida wakikuacha na kuondoka, hawa hawatadumu nawe kipindi kirefu. Hawa ni kama ngazi (ladder) ambayo inahitajika sana wakati nyumba inajengwa, lakini nyumba ikishakamilika ngazi itaondolewa ila nyumba itabaki.

👉🏻Simoni mkirene alionekana tu wakat wa kumsaidia Yesu msalaba na kuufikisha Golgotha, baada ya hapo hatujui alielekea wapi (Mt 27:32). Pia kumbuka Yonathani alivyomsaidia Daudi kupigania nafasi yake ya ufalme, na baadaye tunaambiwa Yonathani mwenyewe akafa muda mchache kabla hata Daudi hajalipa fadhila (2 Sam 1:26), kwa sababu Yonathani alikuwa Comrade wa Daudi. Huwezi kuwa Daudi bila kumpata Yonathani wako!! Pia kumbuka namna Filipo alipomsaidia Towashi wa Kushi kuokoka. Baada tu ya kumbatiza, Biblia inasema Filipo akachukuliwa na Roho mtakatifu. Comrades si marafiki wa kudumu.

❇NB.
Wako marafiki wengine hawako kwenye kundi lolote kati ya hayo niliyoyataja hapo juu.
Hao nawaita “wrong partners”. Hutaweza kufika unakokwenda usipojitenga nao mapema. Mkumbuke Yona. Watu wote kwenye meli wangeangamia kama wasingemtupa Yona baharini. He was a wrong partner (japo ni mtumishi wa Mungu). Mtupe Yona wako, ili ufike salama. Kuna huduma zimekwama, kuna makampuni yamerudi nyuma, kuna biashara zimefilisika kwa sababu wamembeba Yona bila kujua atawaletea shida safarini.. mtupe
Yona wako, Tafuta Confidants wako,..
Much love.
 By fresh newstvz
Elimikahapa1.blogspot.com

Thursday, April 20, 2017

Ajira ajira kwa walimu wahi sasa.anatafutwa mwalimu anaeteka kufundisha shule za private mkoani wa pwani.
Shule iko Kongowe mbagala inahitaji biology chemistry
Offer ni nyumba na chakula cha asubhi na mchana.
Mshahara ni 840, 0000/ mpaka 920, 000/

Nyingine iko Bagamoyo pwani.
Awe na mathematics
Mshahara 700, 000/ hadi 750, 000/

Aliekuwa tayari kuifanya awasiliane na Teachers Junction

Teachers Junction is an organsation which provides networks between Teachers and schools.

In one way we pave ways for teachers to get schools of their achelion on the second side we help school to achieve its mission and vission with strategies knowlge and strategies.

For more information
E-mail :
teachersjunction@hotmail.com

Call: +255713 810857
         +255753 810857
Dar es saama
Coast
Morogoro
Naomba mwalimu anaeteka kufundisha shule za private mkoani wa pwani.
Shule iko Kongowe mbagala inahitaji biology chemistry
Offer ni nyumba na chakula cha asubhi na mchana.
Mshahara ni 840, 0000/ mpaka 920, 000/

Nyingine iko Bagamoyo pwani.
Awe na mathematics
Mshahara 700, 000/ hadi 750, 000/

Aliekuwa tayari kuifanya awasiliane na Teachers Junction

Teachers Junction is an organsation which provides networks between Teachers and schools.

In one way we pave ways for teachers to get schools of their achelion on the second side we help school to achieve its mission and vission with strategies knowlge and strategies.

For more information
E-mail :
teachersjunction@hotmail.com

Call: +255713 810857
         +255753 810857
Dar es saama
Coast
Morogoro