Monday, December 26, 2016


💥 *HAMASA YA SIKU,DEC,26*

✨ Watu wote wenye mafanikio makubwa, wana mambo makubwa mawili yaliyo ndani mwao. *Kwanza, ni malengo waliyojiwekea.* *Pili, Shauku kubwa(burning desire) ya kufikia ndoto zao.*
Mambo hayo mawili ndiyo yanawapa chachu na nguvu kubwa ya kufikia mafanikio yao.

✨ Ni hali ya kawaida kabisa hata wewe, ukitaka kufanikiwa, ni lazima sana kuwa na malengo sahihi  unayoyafatilia kila siku na shauku kubwa ya kufanikiwa. Ikiwa utakosa kitu kimoja kati ya hivyo, utakuwa upo kwenye wakati mgumu sana wa kufanikiwa au naweza kusema hutaweza kufanikiwa kabisa.

Kila la kheri,

  • ,

Saturday, December 24, 2016

faida ya juice ya limao.

jamaa anapata taabu kununua kondomu cheki video hiyo YouTube

ALL GOALS African Lyon vs Yanga December 23 2016, Full Time 1 1 YouTube

VITU VICHACHE VYA KUZINGATIA KATIKA KUANDAA CV

HIVI NI VITU VYA KUZINGATIA ILI KUANDA CV BORA NA YENYE MANUFAA.
1 lazima utambue unachotakiwa kufanya kwenye cv.
2 fanya utafiti wa kina kwenye hiyo kampuni unayotakiwa kupeleka cv yako.
3 kumbuka wewe ndo muhimu na unaandika ili uitwe kwenye hiyo kampuni.
4 Epuka porojo hii cv yako tafadhali.
5 hakiki kazi kabla hujapeleka kwa mwajiri.
6 kamwe usikate tamaa kwenye kuendelea kusambaza cv zako maana kupata kazi ni kazi ndo maana unatafuta kazi kumbuka hilo .

tukutane kwenye chapisho jingine la kujitambue wewe ni nani?