image
Elimu ya Mafanikio
Sunday, July 28, 2019
Saturday, July 1, 2017
Friday, June 9, 2017
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017
Thursday, June 8, 2017
*BREAKING NEWS.*
Basi la kampuni ya *Coastline* lililokuwa linatoka *Mwanza kuja Moshi via Arusha* limepata ajali mbaya maeneo ya *King'ori- Kiwandani* mida hii ya saa mbili usiku. Idadi ya majeruhi ni kubwa na vifo wachache. Kama una ndugu aliyekuwa route hiyo leo jaribu kuwasiliana naye.
Vilevile kuna abiria waliokuwa wamefaulishwa kutoka kwenye mabasi mengine .

Tuesday, May 30, 2017
Saturday, May 20, 2017
SPECIAL WEEKEND
*RATIBA, MISIMAMO, WAFUNGAJI LIGI MBALIMBALI LEO JUMAMOSI MAY 20*
*TANZANIA -Vodacom Premier League*
Ratiba(J1)-May 20
16:00 Mbao Fc vs Yanga Sc
16:00 Simba Sc vs Mwadui Fc
16:00 Azam Fc vs Kagera Sugar
16:00 Majimaji vs Mbeya City
16:00 Stand United vs Ruvu Shooting
16:00 Tz Prison vs African Lyon
16:00 Mtibwa Sugar vs Toto African
16:00 Ndanda Fc vs JKT Ruvu
Msimamo
P-GD-PTS
1-Yanga 29 44 68
2-Simba 29 32 65
3-Azam 29 17 52
4-Kagera 29 6 50
5-Mtibwa 29 0 41
6-Ruvu 29 -4 36
7-Stand 29 -2 35
8-Mwadui 29 -12 35
9-Prison 29 -7 34
10-Mbeya 29 -4 33
11-Majimaji 29 -13 32
12-Lyon 29 -9 31
13-Mbao 29 -9 30
14-Ndanda 29 -17 30
15-Toto 29 -10 29
16-JKT 29 -12 23
-Ubingwa asilimia 99 unaenda Kwa Yanga, Simba wanaweza kuchukua ubingwa iwapo yanga atapoteza mechi ya leo dhidi ya Mbao na Simba washinde Kwa mabao Mengi zaidi ya kumi na tatu.
-kwenye kushuka daraja Tayari JKT Ruvu ameshashuka tayari Bado wawili kati ya timu tano (Majimaji, Lyon, Mbao, Ndanda na toto) mbichi na mbivu kujulikana Leo sa 10:00
Wafungaji VPL
1-Saimon Msuva (Yanga) -14
2-Abdulrahman Mussa (Ruvu) -13
3-Mbaraka Yusuph (kagera) -12
-Obrey Chirwa (Yanga) -12
4-Shiza Kichuya (Simba) -11
-Amis Tambwe (Yanga) -11
5-John Boko (Azam) -9
-Kelvin Sabato (Majimaji) -9
*ENGLAND -Premier League*
Ratiba(J2)-May 21
17:00 Arsenal vs Evarton
17:00 Bunley vs West Ham
17:00 Chelsea vs Sunderland
17:00 Hull City vs Tottenham
17:00 Leicester City vs Bournemouth
17:00 Liverpool vs Middlesbrough.
17:00 Man United vs Crystal Palace
17:00 Southampton vs Stoke City
17:00 Swansea vs West Bromwich
17:00 Watford vs Manchester City
Msimamo EPL
P--GD--Pts
1-Chelsea 37 48 90
2-Tottenham 37 54 83
3-Man City 37 36 75
4-Liverpool 37 33 73
5-Arsenal 37 31 72
6-Man United 37 23 66
7-Evarton 37 20 61
-Tayari Chelsea mabingwa wa Premier League msimu Huu na pia Sunderland, Middlesbrough, na Hull City zimeshuka daraja.
-Vita iliyobaki na ambayo inasubiliwa Kwa hamu Jumapili hii ni timu kuingia Top four Tottenham Biashara ilishaisha ana uhakika wa kumaliza top 4 za kushiriki Uefa Bado nafasi mbili Kwa timu tatu Man City, Liverpool na Arsenal lolote linaweza kutokea ila pia kumaliza nafasi ya nne itategemea na matokeo ya Manchester United fainali ya Europa League.
Wafungaji-PL
1-Harry Kane (Tottenham) -26
2-Romelu Lukaku (Evarton) -24
3-Alexis Sánchez (Arsenal) -23
4-Diego Costa (Chelsea) -20
5-Sergio Agüero (Man City) -18
Pasi za Magoli (Assist) -PL
1-Kelvin De Bruyne (Man City) -16
2-Christian Eriksen (Tottenham) -13
-Gylfi Sigurdsson (Swansea)-13
3-Cesc Fabregas (Chelsea) -11
4-Alexis Sánchez (Arsenal) -10
5-Wilfred Zaha (Crystal Palace) -9
*HISPANIA -Premira Devision (Laliga)*
Ratiba (J1)-May 20
18:00 Sporting Gijón vs Real Betis
20:00 Leganés vs Deportivo Alvés
20:00 Deportivo la Coruña vs Las Palmas
22:00 Sevilla vs Osasuna
Ratiba (J2)-May 21
17:45 Atletical Madrid vs Athletic Madrid
17:45 Valencia vs Villarrieal
17:45 Celta de Vigo vs Real Sociedad
21:00 Barcelona vs Eibar
21:00 Málaga vs Real Madrid
Msimamo -Laliga
P-GD-Pts
1-Real Madrid 37 63 90
2-Barcelona 37 77 87
3-Atletical 37 41 75
4-Sevilla 37 15 69
5-Villarrieal 37 21 64
-Vita Bado iko kwenye ubingwa Kati ya Real Madrid na Barcelona ila Real Madrid wana nafasi kubwa ya kubeba ubingwa Kwani wanahitaji sare ya Aina yoyote kuchukua kombe dhidi ya Barcelona inayoomba Real Madrid afungwe na Málaga na Wao washinde dhidi ya Eibar ili wawe mabingwa wa Laliga
-Vita ya kuingia Top 4 Tayari ilashamalizika Kama ilivyo chini Tayari Osasuna na Granada zimeshuka Daraja Huku sporting Gijón nao Kama wameshuka tu wanaomba Deportivo la Coruña apoteze mechi yake ya mwisho na Wao washinde kuanzisha mabao tisa.
Wafungaji (Laliga)
1-Lionel Messi (Barcelona) -35
2-Luis Suárez (Barcelona) -27
3-Cristiano Ronaldo (Real Madrid) -24
4-Iago Aspas (Celta de Vigo) -18
5-Antonie Grezimann (Atletical Madrid) -16
-Aritz Aduriz (Athetical Bilbao) -16
*GERMANY -Bundersliga*
Ratiba (J1)-May 20
16:30 Bayern München vs Freiburg
16:30 Dortmund vs Wender Bremen
16:30 Frankfurt vs Leipzig
16:30 Humburg vs Wolfsburg
16:30 Hertha BSC vs Bayern Liverkusen
16:30 Hoffenheim vs Augsburg
16:30 Ingolstadt vs Schalke 04
16:30 Köln vs Mainz 05
16:30 M'gladbach vs Darmstadt
Msimamo (Bundersliga)
P-GD-Pts
1-Bayern München 33 64 79
2-RB Leipzig 33 27 66
3-Dortmund 33 31 61
4-Hoffenheim 33 27 61
5-Hertha BSC 33 0 49
-Tayari bingwa wa Bundersliga anajulikana, tayari timu NNE za juu zinajulikana
-Tayar timu mbili (Darmstadt na Ingolstadt) za kushuka Daraja zinajulikana Bado moja Kati ya timu nne (Mainz, Augsburg, Wolfsburg na Hamburg) yoyote anaweza kushuka daraja.
Wafungaji (Bundersliga)
1-Robert Lewandowski (Bayern München) -30
2-Aubameyang (Borrusia Dontmund) -29
3-Anthony Modeste (Fc Köln) -25
4-Timo Werner (Rb Leipzig) -21
5-Mario Gomez (Vfl Wolfsburg) -16
*ITALIA (Seria A)*
Ratiba (J1)-May 20
19:00 Chievo vs Roma
21:45 Napoli vs Fiorentina.
Ratiba (J2) -may 21
16:00 Empoli vs Atalanta
16:00 Genoa vs Torino
16:00 Juventus vs Crotone
16:00 Ac Milan vs Bologna
16:00 Sassuolo vs Cagliari
16:00 Udinese vs Sampdoria
21:45 Lazio vs Inter Milan
NB -(Ligi ya Italia itaisha week ijayo)
Msimamo -Seria A
P-GD-PTS
1-Juventus 36 46 85
2-Roma 36 49 81
3- Napoli 36 50 80
4-Lazio 36 27 70
5-Atalanta 36 19 66
-Vita Bado Kwa timu tatu ila nafasi kubwa ipo kwa Juventus inahitaji Ushindi wa mechi moja Kati ya mbili zilizobaki. Kuingia Top 4 Bado nafasi moja Kati ya Atalanta na Lazio wanawania
-Kule chini kama kawa wawili tayari tumeseme Kwa kheri mwalimu tutaonana kesho timu ya
Pescara na Palermo zimeshuka daraja Huku nafasi moja ya kwa kheri mwalimu ni kati ya timu tatu nazo ni Genoa, Empoli, na Crotone mmoja wao atashuka daraja
Wafungaji(Seria A)
1-Edin Dzeko (As Roma) -27
2-Dries Mertens (Napoli) -25
-Andrea Belotti (Torino) -25
3-Gonzalo Higuan (Juventus) -24
-Mauro Icardi (Inter Milan) -24
4-Ciro Immobile (Lazio) -20
5-Marco Borriello (Cagliari) -16
-Lorenzo Insigne (Napoli) -16
*UFARANSA-ligue 1*
Ratiba (J1)-may 20
22:00 Angers vs Montpellier
22:00 Guingamp vs Metz
22:00 Lille vs Nantes
22:00 Lorient vs Bordeaux
22:00 Lyon vs Nice
22:00 Marseille vs Bastia
22:00 Nancy vs Saint-Étienne
22:00 PSG vs Caen
22:00 Rennes vs Monaco
22:00 Toulouse vs Dijon
Msimamo -Ligue 1
P-GD-Pts
1-Monaco 37 75 92
2-PSG 37 56 86
3-Nice 37 27 77
4-Lyon 37 29 66
5-Marseille 37 15 59
-Bingwa tayari mtu wangu ni Monaco Fc walichukua Jumatano iliyopita, top 4 Tayari kama unavyoona hapo kule chini kama dawa timu Bastia na Nancy wameshuka daraj Bado timu moja Kati ya timu tatu (Dijon, Caen na Lorient) mmoja atashuka ataungana na Bastia na Nancy..
Wafungaji (Legue 1)
1-Edinson Cavani (PSG) -35
2-Alexander Lacazette (Lyon) -26
3-Radamel Falcao (Monaco) -21
4-Bafetimbi Gomis (Marseille)-19
5-Mario Balotelli (Nice) -15
-Kylian Mbappé (Monaco) -15
-Ivan Santini (Caen) -15
-Florian Thauvin (Marseille)-15
+(AFRIKA U17 CUP OF NATIONS
Ratiba(J1)-May 20
20:30 Ghana u17 vs Guinea u17
20:30 Cameroon u17 vs Gabon u17
Msimamo kundi A
P W D L F A Pts
1-Ghana 2 2 0 0 9 0 6
2-Guinea 2 1 1 0 6 2 4
3-Cameroon 2 0 1 1 1 5 1
4-Gabon 2 0 0 2 1 10 0
-Ghana Tayari amefuzu Hatua ya nusu fainali na kupata tiketi ya kushiriki kombe la dunia India, wenyeji Gabon tayari walishaaga mashindano na mechi ya leo wanakamilisha Ratiba tu Huku Cameroon Ataomba Ghana amufunge Guinea na yeye Ashinde mechi dhidi ya Gabon zaid ya mabao manne.
Ratiba (J2)-May 21
20:30 Mali u17 vs Angola u17
20:30 Tanzania u17 vs Niger u17
Msimamo Kundi B
P W D L F A Pts
1-Mali 2 1 1 0 2 1 4
2-Tanzania 2 1 1 0 2 1 4
3-Angola 2 0 1 1 3 4 1
4-Niger 2 0 1 1 3 4 1
-kundi Bado lipo wazi kbsa yoyote anaweza kufuzu Hatua ya nusu fainali mechi za Jumapili zitachezwa muda mmoja ahueni Kwa timu mbili Mali na Tanzania zinahitaji sare yoyote ili kuweza kufuzu Hatua ya nusu fainali na kupata tiketi ya kushiriki kombe la dunia India. Niger na Angola zitafuzu iwapo tu zitashinda mechi zao.
Fresh newstvz channel youtube

Wednesday, April 26, 2017
JE KWANINI KUWA NA MPENZI ZAIDI YA MMOJA AU ZINAA IMEKATAZWA?SOMA HADI MWISHO KUJUA SABABU *KISAYANSI*
Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu.
Ndani ya manii mna vitu vikuu vinne:
• PROTEIN,
• ACID,
• SPERM au CHROMOSOME,
• VIRUS.
PROTEIN: Ni aina mojawapo ya “Food
Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii
inapatikana ndani ya manii na pia watu wa
mambo ya reproduction system (mfumo wa
uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na
aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una
njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kama
utajilazimisha utapata madhara.
ACID: Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye
ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye
tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia
kulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo
sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke
aliyeolewa na asiyeolewa kisha akawa hafanyi
zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule
aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi
sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii.
Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako
ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana
ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya
katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata
ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma
mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano
mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume
ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile
(mashoga) hata kama zamani alikuwa strong
(imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea
kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu
sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii.
Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia
mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia
ukamuingizia manii
ambayo yana acid, acid ile itapanda katika
maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto
akinyonya atanyonya
maziwa yenye acid. Itasababisha mtoto kulegea
au kwa watu wa pwani wanaita
kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto.
Lakini kama
atakula acid ya baba yake hatadhurika sana,
sababu atakula
acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila
mke akiziniwa na mtu mwingine mtoto
ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu
ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si
ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa
ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid
kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika
zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika
virginal wall.
SPERM: Ni mbegu za kiume zinazopatikana
ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya
mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani
mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na
nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na
joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya
reproduction na gynecology wanatueleza
kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto
milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa
kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa
kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi
sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama
yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi
Mungu.
VIRUS: Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo
vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na
mtu
m na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya
zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus
wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi.
Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu)
maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu
mwanaume anapotoa manii yake yenye
protein,acid sperm/chromosomes na virus kila
kimoja huchukua nafasi yake kwenda
kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika
vitundu vilivyo katika virginal m wall ili vipate
kuish humo kwa kuwa ndipo alipowapangia
Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia
mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus
wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo
kwenye varginal wall ili kuishi humo. Ina maana
virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale
ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo
akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa
virus wasiokuwa wako. Hivyo hawa wapya
wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale
matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo
alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya
wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa
mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao
wametokea wapi? Mbona si katika wale
tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus
wenyeji watawashambulia virus wageni kama
antibody bacteria (kitu kinachotoka nje ya
mwili). Na katika mapigano haya watapelekea
kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale
waliokufa watoke, watatoka vipi? Au watatokea
wapi? Jibu ni pale pale walipoingilia. Hapo sasa
ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia
virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi
kushambuliwa na virus wa zamani itabidi
watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili
wakimbie na kujificha katika nyama laini. Hapo
ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali
wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha
magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo
mume akimuingilia mkewe naye pia atapata
ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus
wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini
zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa
urinary truck (mrija wa mkojo).
Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni
uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni
kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani
mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya
mumewe pekee. Na hapa ndipo tunapoona
hekima ya Mwenyezi Mungu kwa mfano kwa
baadhi ya dini kwamba kwa nini ameamrisha
mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na
mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja, Hii
ni kwa sababu mwanamke anapokea manii
yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwa
mumewe. Ila ieleweke kuwa mwanaume atakiwa
awe muaminifu kwa wake zake, akitoka nje ya
ndoa zake atawaletea magonjwa wakeze. Hapa
ndipo inapopatikana hekima ya mwanamke
aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka
lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama
mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi
cha miezi mine na siku kumi ambacho
mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi
hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa
protein inayopatikana katika
manii ambayo ndio chakula chao, hivyo
kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika
kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama
ataolewa tena na mume mwingine huyu mume
mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo
haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi
Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina
madhara yake. Njia bora ya kupambana na
magonjwa mbalimbali km UKIMWI ni kuacha
Zinaa.
*ukipata muda share hiyo nii Mafundisho mazur sana.

Subscribe to:
Posts (Atom)